Kaimu
Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD), akimuelekeza jambo Ofisa Uhusiano
wa MSD, Benjamin Massangya (kulia), katika maonyesho ya wiki ya utumishi
wa umma katika viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Kaimu
Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD), Cosmas Mwaifwani (kushoto),
akizungumza na John Chale kuhusu kazi mbalimbali zinazpfanywa na MSD
baada ya kutembelea banda la MSD katika maonyesho ya wiki ya utumishi wa
umma katika viwanja vya Mnazi Mmoja mwishoni mwa wiki
Ofisa
Uhusiano wa MSD, Benjamin Massangya (kushoto), akiwaelekeza jambo
wananchi waliotembelea banda la MSD katika maonyesho hayo.


No comments:
Post a Comment