![]() |
| Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM wakipokelewa na Sungusungu walinzi wa asili wa kabila la kisumuka wakati alipowasili katika kijiji cha Hungumalwa wilayani Kwimba. |
![]() |
| Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza katika zahanati ya Hungumalwa ambayo ujenzi wake unaendelea katikati ni kijana mdogo Diwaniwa wa Hungumalwa Shija Marando ambaye amesimamia ipasavyo ujenzi wa zahanati hiyo na kulia ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM. |
![]() |
| Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Mbunge wa jimbo la Kwimba Mhe. Shanif Hilan Mansoor wakikabidhi vyerehani kwa vikundi vya akina mama washonaji wa nguo baada ya mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa mpira mjini Ngudu. |
![]() |
| Baadhi ya wananchi wakiwa katika mkutano huo. |






No comments:
Post a Comment