| Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Nape Nnauye
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa pili kutoka kushoto wakiongoza
wakielekea hoteli ya Mwanza kwa ajili ya kushiriki Mazoezi na vijana wa
Joging Club ya CCM Mwanza asubuhi hii yaliyoishia Soko kuu stendi ya
Tanganyika, Kabla ya kuanza ziara yake katika jimbo la Nyamagana ambapo
atakagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM ya
mwaka 2010-2015 na kusikiliza kero za wananchi mbalimbali ili kuzipatia
ufunbuzi, Kutoka kulia ni Miraji Mtaturu Katibu wa CCM mkoa wa Mwanza,
Mbunge wa jimbo la Kwimba Mh.Shanif Mansoor .na kushoto ni Mkuu wa mkoa
wa Mwanza Ndugu Magesa Mulongo. Mazoezi hayo ya Jogging yameanzia Hoteli
ya Mwanza na kuishia(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-MWANZA) |
No comments:
Post a Comment