KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

June 18, 2015

KINANA AKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI WILAYANI MBOGWE MKOA WA GEITA

????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM  kushoto wakipokelewa na mganga mkuu wa kituo cha afya cha Masumbwe wilayani Mbogwe Katibu Mkuu huyo alipokagua  kituo hicho na kuwasha umeme wa REA kituoni hapo  akiwa katika ziara ya kikazi wilayani humo yenye lengo la kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2010-2015 inayotekelezwa na serikali, Kulia ni Dr. John Mgosha Mganga Mkuu wa kituo hicho.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-MBOGWE-GEITA)
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasha rasmi umeme wa REA katika kituo cha afya cha Masumbwe kata ya Nyakafuru wilayani Mbogwe mkoa wa Geita wakati alipokagua kituo hicho,Kulia ni Dr. John Mgosha Mganga Mkuu wa kituo hicho.            
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki katika ujenzi wa wodi ya akina mama inayojengwa kwa nguvu za wananchi katika kata ya Lugunga               
????????????????????????????????????
Baadhi ya wananchi wakifuatilia kwa makini  mkutano huo.      
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa ameshikilia bendera ya CHADEMA baada ya mmoja wa wafuasi wa chama hicho kujiunga na CCM, katikati ni Mwalimu Jumanne Mohamed Nasoro ambaye amerejesha kadi yake ya CHADEMA na kujiunga na Chama cha Mapinduzi. 

No comments:

Post a Comment