![]() |
| Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi alipofika kukagua shughuli za vikundi vya wajasiriamali na vijana wanaoshiriki mchezo wa soka, katika mji mdogo wa Katoro, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama mkoani Geita, leo. Kushoto ni Mbunge wa Busanda Lorencia Bukwimba. |
![]() |
| Kinamama wa kijiji cha Chikobe wakimshangilia Kinana alipozumgumza na wananchi katika mkutano wa hadhara |
![]() |
| Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisisitiza jambo mbele ya umati wa wakazi wa mji mdogo wa Katoro,alipokuwa akiwahutubia katika mkutano wa hadhara Jimbo la Busanda, wilayani Geita, Mkoa wa Geita. |
![]() |
| Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akiwa ameambatana Mbunge wa viti Maalum mkoa wa Geita,Vick Kamata wakielekea katika mkutano wa hadharakatika Mji Mdogo wa Katoro, Jimbo la Busanda, mkoani Geita leo. |






No comments:
Post a Comment