KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

June 21, 2015

KINANA ATEMBELEA MGODI WA MGUSU ULIOKABIDHIWA KWA WACHIMBAJI WADOGOWADOGO MKOANI GEITA

????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Peter Malebo Mjumbe wa Kamati ya Mgusu Miners Co Oparative Sociaty Limited kuhusu uchakataji wa madini ya dhahabu katika migodi ya wachimbaji wadogo wa Mgusu, wakati Katibu Mkuu huyo alipotembelea na kukagua shughuli za wachimbaji hao, akiongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi.
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia mashine maalum ya kusaga mawe yenye dahabu.
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia mchanga ambao tayari umeshasagwa kwa mashine tayari kwa kusafishwa ili kupata dhahabu.                         

No comments:

Post a Comment