| Makatibu kata wa CCM jimbo la Isimani wakiwa wamezunguka pikipiki 16 zilizotolewa na mbunge wao Wiliam Lukuvi kwa ajili ya kuwasaidia katika shughuli za kila siku |
| makatibu kata na katibu wa wilaya ya Iringa wakishangilia wakati katibu wa mkoa wa Iringa Hassan Mtenga akijaribu pikipiki hizo |
| Katibu wa CCM mkoa wa Iringa Hassan Mtenga akikabidhi simu kwa katibu kata wa CCM jimbo la Isimani |


No comments:
Post a Comment