![]() |
| Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivuka pamoja na wananchi katika daraja hilo lililotengenezwa kwa miti. |
![]() |
| Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa amepanda pikipiki akielekea katika kijiji cha Ilyanchele kwa ajili ya kuzungumza na wananchi wa kijiji hicho. |
![]() |
| Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kazi ya kutega mizinga ya nyuki kwenye mradi wa ufugaji nyuki wa katika shule ya sekondari ya Busonge kata ya Iyogelo |
![]() |
| Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisisitiza jambo wakati alipokuwa akihutubia katika mkutano huo. |






No comments:
Post a Comment