![]() |
| Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bibi. Mary Massay akitoa ufafanuzi kuhusu haki za watu wenye ualbino katika mkutano wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Uelimishaji Umma Kuhusu Ualbino uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bibi. Nkasori Sarakikya. |
![]() |
| Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Dkt. Kevin Mandopi akizungumza na wadau mbalimbali wa masuala ya haki za binadamu katika mkutano wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Uelimishaji Umma Kuhusu Ualbino uliofanyika kwenye ofisi za Tume hiyo leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi kutoka Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali Bibi. Neema Ringo na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bibi. Nkasori Sarakikya. |




No comments:
Post a Comment