Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiagana
ya watendaji wa boti ya (Kilimanjaro 1V) baada ya kuwasili bandari ya
Dar es Salaam jana jioni akitokea Unguja.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad,
akiwapungia mkono wananchi, baada ya kuteremka kutoka ndani ya boti ya
(Kilimanjaro 111), aliyosafiria akitokea Dar es Salaam.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwasili
katika bandari ya Zanzibar akitokea Dar es Salaam kwa usafiri wa boti ya
(Kilimanjaro 111).
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad,
akisalimiana na watendaji wa boti ya (Kilimanjaro 111) wakati akijiandaa
kupanda boti hiyo kwa safari ya Zanzibar. (Picha na Salmin Said, OMKR)


No comments:
Post a Comment