| Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa Mradi wa Ujenzi wa Mki wa Avic, 'Avic Town', uliofanyika leo Juni 13, 2015 Kigamboni jijini Dar es Salaam. |
| Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia mandhali ya jiko katika moja kati ya nyumba zilizojengwa katika eneo hilo, wakati alipokuwa akitembelea nyumba hizo baada ya uzinduzi rasmi wa Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Avic 'Avic Town' Kigamboni. |
| Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitembelea mradi huo kukagua mara baada ya kuuzindua leo Kigamboni. Picha na OMR |


No comments:
Post a Comment