KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

June 16, 2015

MAMA SALMA AHUTUBIA MKUTANO WA WAKE WA MARAIS NA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA (OAFLA) NCHINI AFRIKA KUSINI

1
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akielekea kwenye ukumbi wa mkutano wa Sandton Internationa Center unakofanyika mkutano wa wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika huko Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 15.6.2015. Aliyefuatana na Mama Salma ni Mwenyekiti wa OAFLA anayemaliza muda wake Mama Hinda Derby Itno
2
Mke wa Rais Mama Saloma Kikwete akiangalia moja ya machapisho mbalimbali yanayohusiana na Mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika (OAFLA) unaofanyika nchini Afrika Kusini.                  
8
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake ya mwisho kwenye kikao cha Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika kinachofanyika kwenye Ukumbi wa Sandton jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 15.6.2015.                                   
3
Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa mkutano wao wa mwaka unaozungumzia uwezeshaji kwa wanawake na Maendeleo katika Bara hili.    

No comments:

Post a Comment