KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

June 16, 2015

MAMLAKA YA UDHIBITI WA HUDUMA ZA NISHATI NA MAJI (EWURA) YAPATA TUZO

02
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji(EWURA) Bw. Felix Ngamlagosi (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Umeme kutoka mamlaka hiyo, Anastas Mbawalla .
01
Mkurugenzi wa Umeme kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji(EWURA) , Anastas akifafanua jambo kwa waandishi wa habari leo kuhusu kitabu cha mikataba ya kuuziana umeme ambacho alishiki kukiandika. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Bw. Felix Ngamlagosi.             
03
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji(EWURA) Bw. Felix Ngamlagosi (kushoto) akionesha tuzo ya mdhibiti bora wa mwaka wa nishati iliyotolewa kwa mamlaka hiyo na Jukwaa la Nishati Afrika wakati akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Umeme kutoka mamlaka hiyo, Anastas Mbawalla .        

No comments:

Post a Comment