| Wafanyakazi wa Global Publishers wakiweka shada la maua katika kaburi la marehemu Robert Tillya wakati wa maziko Uru-Moshi, mkoani Kilimanjaro. |
| Mwili wa marehemu Robert Tillya ukishushwa kaburini. |
| Padri akiendesha misa ya mazishi. |
| Mke wa marehemu, Daya, akisaidiwa baada ya mazishi. |
| Baba wa marehemu, Ridoch Tillya (kushoto) akiwa na mtoto wa marehemu, Niveti. Kulia ni baba mkubwa wa marehemu Mzee Tillya akiwa na mtoto mkubwa wa marehemu. |


No comments:
Post a Comment