KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

June 18, 2015

RISALA YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN

mail.google.com
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa Risala ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kwa Wananchi na Waislamu wote nchini katika Risala hiyo amewataka Wananchi kuwa amani na Utulivu na kuwaombea kwa Mola wetu kuwajaalia Rehma baraka za Mwezi Mtukufu wa Ramadhan  pia amewataka kufanya ibada kwa wingi katika kipindi chote cha mwezi huu, [Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment