![]() |
| Rais wa watoto Tanzania Ameir Haji Khamis akitoa ujumbe wa watoto na dawa za kulevya kwenye sherehe za siku ya kupambana na usafirishaji na matumizi ya dawa za kulevya Duniani katika kiwana cha Kombawapya. |
![]() |
| Baadhi ya vijana waliopata nafuu kutokana na utumiaji wa madawa ya kulevya wakimsikiliza mgeni rasmi katika maadhimisho hayo. |
![]() |
| Naibu Waziri wa Afya akimkabidhi kombe la ushindi Nahodha wa Zanzibar Youth Forum (kushoto) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya kuratibu na kudhibiti dawa za kulevya Zanzibar Kheriyangu Mgeni Khamis. |
![]() |
| Mgeni rasmi Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Fatma Abdulhabib Ferej katika picha ya pamoja na vijana waliopata nafuu. |






No comments:
Post a Comment