| Mgombea Urais kwa tiketi ya
Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
akipongezwa na Waziri wake wa Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dkt. Binith
Mahenge, baada ya kurejesha Fomu za
kuwania urais, katika Ofisi za Makao Makuu wa CCM mjini Dodoma leo juni 15,
2015 kwa. Katikati ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Zakia Bilal. |
No comments:
Post a Comment