BAADA
ya Mbunge wa Mbeya Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema), Mheshimiwa Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ kuripotiwa
kumfikisha mahakamani mzazi mwenziye, Faiza Ally, Juni 19, mwaka huu
akitaka mahakama impe haki ya kumlea mtoto wao, Sasha (2), sakata
limeisha kwa Sugu kukabidhiwa mtoto amlee
No comments:
Post a Comment