![]() |
| Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Nakuala Senzia (wa kwanza kulia), akizungumza wakati wa uzinduzi wa ripoti ya Dunia ya mwaka 2015 kuhusu uwekezaji mara tu baada ya kuizindua kwenye hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Pembeni yake ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dk. Florence Turuka (wa kwanza kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Prof. Lucian Msambichaka (Katikati) na Mjumbe wa kamati ya Bodi ya TIC, Dr Frances Shao. |
![]() |
| Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dk. Florence Turuka (kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Prof. Lucian Msambichaka kwa pamoja wakizindua ripoti ya Dunia ya mwaka 2015 kuhusu uwekezaji kwenye hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. |
![]() |
| Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dk. Florence Turuka (wa pili kulia) akionyesha ripoti ya Dunia ya mwaka 2015 kuhusu uwekezaji mara tu baada ya kuizindua kwenye hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Nakuala Senzia (wa kwanza kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya TIC, Prof. Lucian Msambichaka (wa pili kushoto) na Mjumbe wa kamati ya Bodi ya TIC, Dr Frances Shao. |





No comments:
Post a Comment