![]() |
| Mwanachama wa CHADEMA akiandaa bendera tayari kwa ufunguzi wa Tawi la Chadema Jimboni Kilosa |
![]() |
| Mtia ni wa Ubunge Kilosa Ndugu Rajab Msabaha Kauzela akipandisha bendera kama ishara ya ufunguzi wa Tawi la Chadema katika mwendelezo wa ziara zake za ufunguzi wa matawi ili kujenga chama Jimboni Kilosa |
![]() |
| Wananchi waliofurika kushuhudia ufunguzi wa Tawi Jipya la Chadema moto wa gesi Jimboni Kilosa |
![]() |
| Ndugu Kauzela akisalimiana na viongozi wa CHADEMA waliohudhuria ufunguzi wa Tawi la CHADEMA Jimboni Kilosa |






No comments:
Post a Comment