![]() |
| Waziri wa Nchi katika ofisi ya Rais asiye na wizara maalum Profesa Mark James Mwandosya akiwa na mkewe Mama Lucy Mwandosya wakiwasili katika ofisi za CCM za Mkoa wa Iringa kusaka wadhamini. |
![]() |
| Waziri wa Nchi katika ofisi ya Rais asiye na wizara maalum Profesa Mark James Mwandosya akilakiwa na maofisa wa chama katika ofisi za CCM za Mkoa wa Iringa kusaka wadhamini |
![]() |
| Waziri wa Nchi katika ofisi ya Rais asiye na wizara maalum Profesa Mark James Mwandosya akipungia mkono wasindikizaji wake katika uwanja wa ndege wa Iringa baada ya kusaka na kupata wadhamini wa kutosha.(Muro) |





No comments:
Post a Comment