KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

June 27, 2015

RAIS KIKWETE KATIKA HAFLA YA MIAKA MIWILI YA KUTAWAZWA KWA POPE FRANCIS KUWA KIONGOZI WA KANISA KATOLIKI DUNIANI

Rais Kikwete akisoma hotuba yake  kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini-Juni 26, 2015 kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam.
Balozi wa Vatican na Mwakilishi wa Papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padilla qkihutubia kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini-Juni 26, 2015  kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam.
Rais Kikwete akigonganisha glasi na Balozi wa Vatican na Mwakilishi wa Papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padilla na Muadhama kardinali Polycarp Pengo kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani-Juni 26, 2015   kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam.
Waziri Membe akimtambulisha Balozi wa Vatican na Mwakilishi wa Papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padilla kwa Kaimu Mufti wa Tanzania Sheikh abubakar Zubeiry aliyealikwa kwenye sherehe hizo.
Rais Kikwete akiagana na Maaskofu na viongozi wengine baada ya kuhudhuria sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam.
Rais Kikwete akiagana na Maaskofu na viongozi wengine baada ya kuhudhuria sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam.
Rais Kikwete akisalimiana  na Mabalozi  na viongozi wengine kwenye  sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam
Rais Kikwete akisalimiana  na Mabalozi  na viongozi wengine kwenye  sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam.                               

No comments:

Post a Comment