![]() |
| Benki kuu ya Marekani
Kwa mara ya kwanza katika kipindi cha zaidi ya karne moja, noti mpya ya dola kumi nchini Marekani itakuwa na picha na mwanamke.
Wizara hiyo imesema inatafuta kile kinachoelezwa kuwa demokrasia shirikishi. Noti hiyo mpya ya dola kumi itatolewa mwaka 2020 kuadhimisha miaka mia moja ya wanawake wa Marekani kupata haki ya kupiga kura. Source: BBC |
June 18, 2015
SURA YA MWANAMKE KUWA KATIKA NOTI MPYA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment