| Mgeni Rasmi Bw. Ibrahim D. Kalengo, Mtakwimu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ambae anamwakilisha Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, akitoa neno kwa ajili ya warsha hiyo kufunguliwa rasmi. |
| Mwezeshaji Dr. Deograsias P. Mushi ambae pia ni Mchumi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Mtafiti wa Ecom Research Group akishusha nondo kwa wanawarsha juu ya mambo mbalimbali yanayohusu ujumuishaji wa masuala ya vijana katika mipango ya maendeleo ya mkoa na wilaya. |
| Afisa kutoka UNFPA anaeshughulikia maswala ya vijana Bi. Tausi Hassan, akisisitiza jambo kwa washiriki wa warsha kuhusu program za vijana katika shirika la UNFPA. |
| Washiriki wa warsha kutoka Sekretarieti ya Mkoa na Halmashauri za mkoa wa Mara na Simiyu wakiwa katika picha ya pamoja na wawezeshaji wa warsha hiyo. |


No comments:
Post a Comment