| Mwenyekiti wa Baraza la wadhamini
la Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu Tanzania, Shehe Abdallah Ndanga (kushoto),
akizungumza wakati wa kongamano kuhusu ‘Msimamo Mkali katika Dini, Maana,
Matukio, Sababu na Suluhisho’ lililowashirikisha viongozi kutoka zaidi ya
misikiti 100 , viongozi wa taasisi za kiislamu, wanazuoni, na vijana
wanaoendesha harakati za kiislamu katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki. Wengine kushoto kwake ni baadhi wa viongozi wa umoja
huo; Shehe Suleiman Amrani Kilemile, Shehe Muharram Juma Doga na Shehe Ibrahim
Hamadi. |
No comments:
Post a Comment