| Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (katikati), akipokea
fomu kutoka kwa Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kati, Ally Yusuf
Salim zilizojazwa na wanachama wa CCM mkoa wa Kusini Unguja jana kwa ajili ya
kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya
chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1500 katika mikoa yote minne
ya Unguja. Kushoto ni Katibu wa CCM Kata ya Jumbi, Christina Athon . |
No comments:
Post a Comment