WAZIRI MEMBE ASHIRIKI MAZISHI YA MUFTI MKUU ISSA SHABAN BIN SIMBA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akitoa neno kwa umati wa waombolezaji katika
msiba wa Mufti mkuu Issa Shaban Bin Simba nyumbani katika Mtaa wa Majengo mjini
Shinyanga, baada ya mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Nguzo Nane mjini
humo Juni 16.2015.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu Mufti
mkuu Issa Shaban Bin Simba wakati wa mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya
Nguzo Nane mjini humo Juni 16.2015.
Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akisalimiana na wananchi baada ya weka udongo
kwenye kaburi la marehemu Mufti mkuu Issa Shaban Bin Simba wakati wa mazishi
yaliyofanyika katika makaburi ya Nguzo Nane mjini humo Juni 16.2015.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akijadiliana jambo na Askofu Liberatus Sangu wa
Kanisa Katoliki Jimbo la Shinyanga baada ya kumaliza mazishi ya marehemu Mufti
mkuu Issa Shaban Bin Simba nyumbani katika Mtaa wa Majengo mjini Shinyanga Juni
16.2015.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto), akijadiliana jambo na Waziri Mkuu
mstaafu Frederick Sumaye walipiokutana baada ya kumaliza mazishi ya marehemu Mufti
mkuu Issa Shaban Bin Simba nyumbani katika Mtaa wa Majengo mjini Shinyanga Juni
16.2015.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto), akimpa mkono
wa pole Bw. Ahmad Simba ambaye ni mdogo wa marehemu Mufti mkuu Issa Shaban Bin
Simba wakati wa msiba nyumbani kwao katika Mtaa wa Majengo mjini Shinyanga Juni
16.2015.
No comments:
Post a Comment