KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

July 7, 2015

SHERIA NI MSUMENO,WEZI WA FEDHA ZA MAFUTA NA GESI KUOZEA JELA

Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene
BUNGE limepitisha miswada miwili iliyokuwa imesalia ya mafuta na gesi ambapo watakaobainika kuchota fedha katika Mfuko wa Mafuta na Gesi utakaoanzishwa watapewa adhabu mbalimbali ikiwemo kifungo cha miaka 30 jela au kufilisiwa mali zao.

No comments:

Post a Comment