Mkurugenzi Msadizi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, Bibi Eliaika Manyanga (Kulia) akizungumza na waajiriwa wapya wa Ofisi hiyo katika mafunzo ya awali (Induction course) yanayofanyika katika Hoteli ya Kings Way Mkoani Morogoro. |
Baadhi ya waajiriwa wapya wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wakiwa katika mafunzo ya awali (Induction course) yanayofanyika katika Hoteli ya Kingsway Mkoani Morogoro. |
Kaimu Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Jasper Mero (Kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya awali kwa waajiriwa wapya wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi yanayofanyika katika Hoteli ya Kingsway Mkoani Morogoro. |
Kaimu Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw.
Jasper Mero (Katikati waliokaa) na baadhi ya viongozi waandamizi wa Ofisi ya
Taifa ya Ukaguzi wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya waajiriwa wapya wa
Ofisi hiyo.
PICHA ZOTE NA SAIDI MKABAKULI
|
No comments:
Post a Comment