Mratibu wa Mpango wa
kitaifa wa Kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele dkt. Upendo
Mwingira, akionesha fulana yenye ujumbe wa kutokomeza magonjwa hayo
toka shirika lisilo la kiserikali la nchini Marekani la Ending Negleted
Diseases,walokuja nchini tanzania kwa ajili ya kujionea shughuli
mbalimbali zinazofanywa za kutokomeza magonjwa yaliyokuwa hayapewi
kipaumbele Mkoani Arusha
Mratibu wa Trakoma
toka hospitali ya KCMC Patrick Masae akifanya uchunguzi wa macho kwa
wananchi wa kata ya Sinya na Tinga Tinga wilayani Longido
Wanafunzi wa shule ya msingi sinya wakiwaonesha
wageni (hawapo pichani) jinsi wanavyotumia kibuyu mchirizi kwa kunawa
hii ni mojawapo wa mkakati wa usafi wa mazingira na kuimarisha usafi wa
kunawa mikono na usi kutokomeza ugonjwa wa trakoma.
No comments:
Post a Comment