KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

August 1, 2015

AZAM USO KWA USO DHIDI GOR MAHIA

Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akichuana na beki wa KCCA, Hassan Wasswa katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Kagame uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Azam ilishinda kwa goli 1-0.
 Beki wa Azam FC, Agrey Morris akichuana na beki wa KCCA, Hassan Wasswa katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Kagame uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco (kulia) akimtoka beki wa KCCA,  Ochaya Joseph katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Kagame uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.  

No comments:

Post a Comment