KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

August 27, 2015

MAMA SAMIA ANG’ARA KILIMANJARO NA ARUSHA

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu, akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM, uliofanyika leo katika stendi ya daladala maarufu kwa jina la Samunge, jijini Arusha jana
 Sehemu ya umati wa wananchi waliofurika kwenye mkutano huo jijini Arusha jana                              

No comments:

Post a Comment