![]() |
| Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia)akiuliza suala kwa Afisa wanyamapori Idara ya Misitu salum Khamis (kushoto) wakati alipotembelea maonesho ya kazi mbali mbali katika sherehe za uzinduzi wa Mradi wa (HIMA) katika hifadhi ya Misitu asili kituo cha Jamii Makangale ndani ya Msitu wa Ngezi Mkoa wa Kaskazini Pemba jana. |
![]() |
| Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein akipanda mche wa muembe Mviringo ikiwa kama kumbukumbu yake wakati sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa (HIMA) katika hifadhi ya Misitu asili kituo cha Jamii Makangale ndani ya Msitu wa Ngezi Mkoa wa Kaskazini Pemba jana |
![]() |
| Baadhi ya Viongozi na Wananchi waliohudhuria katika sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa (HIMA) katika hifadhi ya Misitu asili kituo cha Jamii Makangale ndani ya Msitu wa Ngezi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa mradi huo. |





No comments:
Post a Comment