KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

August 31, 2015

MGOMBEA MWENZA WA UKAWA JUMA DUNI HAJI AHUTUBIA WAKAZI WA MTWARA

Mgombea urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Juma Duni Haji akisalimiana na wakazi wa wilaya ya Newala baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Diesel mkoani Mtwara.
Mgombea Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Juma Duni Haji akiwahutubia mamia ya wakazi wa kakazi wa mjini Mtwara katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mashujaa mjini Mtwara.
 Mamia ya wakazi wa Mtwara wakifuatilia mkutano wa kampeni wa Ukawa uliohutubiwa na mgombea Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Juma Duni Haji katika uwanja wa Mashujaa Mtwara.

No comments:

Post a Comment