KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

August 31, 2015

VODACOM TANZANIA YASHIRIKI KONGAMANO LA WIKI YA HUDUMA ZA KIFEDHA NA UWEKEZAJI JIJINI DAR ES SALAAM

Displaying 003.Kongamano.jpg
Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania kanda ya Mbagala jijini Dar esSalaam,Idd Mawe akitoa semina ya mafunzo ya huduma ya M-pawana M-pesa kwa Mawakala na wateja wakampuni hiyo wakati wa kongamano la wiki yahuduma za kifedha na uwekezaji lililofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Displaying 001.Kongamano.jpg
Wakazi wa jiji la Dar es Salaam kutoka kushoto Anna Msinde,Mwanaidi  Khajina Mariam Rajabu wakielekezwa na Mfanyakaziwa Vodacom Tanzania, Athuman Mwakipesile(kulia) jinsi ya kujiungana hudumaya M-Pawa inayowawezesha wateja wakampuni  hiyo kupata riba na mikopo ya bei nafuu kupitia simu zao za mkononi wakati wakongamano la wiki ya huduma za kifedha nauwekezaj ilililofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Displaying 002.Kongamano.jpg
Mfanyakaziwa Vodacom Tanzania, Athuman Mwakipesile(kushoto) akiwafafanulia jambo baadhi ya watejawa Vodacom Tanzania waliofika katika banda la kampuni hiyo  wakati wakongamano la wiki ya huduma za kifedha na uwekezaji lililofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam mwisho ni mwa wiki.    

No comments:

Post a Comment