![]() |
| Christian Bella akiwa kwenye gari yake mpya
Msanii
mkali ni lazima awe na gari kali. Christian Bella amesema anapenda kuwa
na magari mengi na ndio maana ameamua kununua gari jipya aina ya Toyota
Harrier. Akizungumza na Bongo5 leo akiwa mwenye furaha, hitmaker huyo wa Nani Kama Mama amesema bado anatamani kuwa na magari mengi zaidi na ya thamani. “Mimi napenda sana kuwa na magari mengi ndio maana nikipata pesa na gari nikilitamani nalinunua tu,” amesema. “Tatizo ni pesa, leo gari yangu mpya imeingia Toyota Harrier. Hii gari niliagizia ndio imeingia, nimenunua shilingi milioni 35.” |
August 27, 2015
MKOKO MPYA WA CHRISTIAN BELLA 'KIJANA WA MASAUTI' HUU HAPA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment