| Mshindi wa TMT 2015 #mpakakieleweke Dennis Lwasai akiwasalimia wakazi wa mji wa Moshi waliokuwa wakimpongeza wakati akirejea kwao Moshi |
| Alipokelewa hivi na vijana wenzie |
| Ndugu, Jamaa na marafiki wakimpokea mshindi wao na kumpongeza kwa kuibuka mshindi na kuiwakilisha kanda ya kaskazini vyema |
| Mama Mzazi wa Mshindi wa TMT 2015, Dennis Lwasai akimkumbatia mwanae na kumpongeza kwa kuibuka kinara wa TMT 2015 na kuondoka na kitita cha Shilingi Milioni 50 za kitanzania |
| Mama mzazi wa mshindi wa TMT 2015 Dennis Lwasai akitoa maneno ya shukrani kwa vijana na watu waliojitokeza kumpokea Dennis wakati akirejea kwao Moshi hapo jana |
| Dennis Lwasai mshindi wa shindano la tmt 2015 #mpakakieleweke akitoa maneno ya shukrani kwa vijana na watu wote waliojitokeza kumpokea mapema jana wakati akirejea nyumbani Kwao Moshi |


No comments:
Post a Comment