![]() |
|
Balozi wa Tanzania nchini Marekani
Mhe. Wilson Masilingi akiwa na Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama mara
baada ya kukabidhi hati za utambumbulisho (White House). Washington DC
siku ya Alhamisi Septemba 17, 2015.
|
![]() |
Mhe. Wilson Masilingi Pamoja na
Familia yake wakiwa Katika nyuso za furaha mara baada ya kukabidhi hati
za utambulisho Ikulu ya Marekani(White House) siku ya Alhamisi Septemba 17, 2015. Kutoka
kushoto ni Mtoto wa Balozi ndugu Nelson Masilingi, Rais wa
Marekani Barack Obama, Balozi Wilson Masilingi, pamoja na Marystella
Masilingi. Mke wa Balozi.
|
|
Wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania
Nchini Marekani wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Wilson Masilingi
na familia yake mara baada ya kurudi nyumbani kwake Bethesda, Maryland
alipotoka kukabidhi hati za Utambulisho kwa Rais Barack Obama siku ya Alhamisi Septemba 17, 2015.
|




No comments:
Post a Comment