KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

September 21, 2015

BREAKING NEWS: EMMANUEL MBASHA AACHIWA HURU

 MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam leo imemuachia huru mume wa mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha (pichani)katika kesi iliyokuwa inamkabili ya kosa la ubakaji baada ya kuona hana hatia juu ya madai hayo.

Mbasha alikuwa anakabiliwa na mashitaka ya kumbaka shemeji yake mwenye umri wa miaka 17.             

No comments:

Post a Comment