Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa makumbusho Bw.Said El Gheith wakati alipotembelea sehemu mbalimbali za Mnara wa kumbukumbu baada ya kuuzindua rasmi leo katika viwanja vya Michenzani Mjini Zanzibar. |
MAMA REGINA LOWASSA
AMEWATAKA WANAWAKE NCHINI KUTORUBUNIWA
Wanawake nchini wametakiwa wasikubali kurubuniwa na maneno maneno wala
vitisho kutoka kwa baadhi ya wanasiasa,bali wauone mwaka huu 2015 kama
mwaka wa mabadiliko na kuiweka madarakani serikali sahihi,ili iweze
kuwawekea mazingira mazuri ya kufanyia biashara zao,na kuwaondoa kwenye
adha ya kujifungulia mahali pasipo salama kwa afya zao.
Akiongea na wanawake wa mjini Sumbawanga mkoani Rukwa,mke wa Mgombea
urais kupitia chama cha DEMOKRASIA na maendeleo Chadema na UKAWA
mheshimiwa Edward Lowassa, Mama Regina Lowassa,amesema wanawake
wanapaswa kufanya mabadiliko kupitia masanduku ya kura mwaka huu, ili
wapate neema ya kuwa na mazingira mazuri ya kufanyia shughuli zao za
kibiashara zisizokuwa na wingi wa kodi na ushuru kama ilivyo hivi
sasa,zinazowaletea kero na kuwafanya wasiwe na maendeleo yoyote.
Kwa upande wao baadhi ya wanawake waliohudhuria kikao hicho, wameiomba
serikali ya awamu ya tano itakapoingia madarakani,iwaondoe kwenye adha
kubwa ya kufanyia shughuli zao za kibiashara kwenye mazingira yenye
miundo mbinu mibovu licha ya kulipa kodi na ushuru mbalimbali,pamoja na
kuangalia namna ya kuwalipa wenyeviti wa serikali za mitaa posho
Copy the BEST Traders and Make Money (One Click) : http://ow.ly/KNICZ

No comments:
Post a Comment