![]() |
Arsenal jana iliitandika Man United baada ya kuichapa kwa mabaO 3-0 kwa ushindi huo sasa Arsenal inakamata nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu ya England .
United ilikuwa haina jibu ya mabao ya wachezaji wa Arsenal Alexis Sanchez na Mesut Ozil kabla Arsenal haijafunga bao la tatu. |
No comments:
Post a Comment