KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 6, 2015

DK.ALI MOHAMED SHEIN AFUNGUA JENGO JIPYA LA WIZARA KATIBA NA SHERIA

1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa Jengo jipya la  Wizara Katiba na Sheria liliopo Mazizini Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar  Oktoba 6, 2015.
2
Rais wa Zanzibar wa Zanzbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kulifungua   Jengo jipya la   Wizara ya Katiba na Sheria liliopo Mazizini Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar  Oktoba 6, 2015 ,(kushoto) Waziri wa Katiba na Sheria Abubakar  Khamis Bakari na (kulia) Katibu Mkuu Asaa Omar Hamad.
3
Rais wa Zanzibar wa Zanzbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Asaa Omar Hamad (kulia) wakati akilipotembelea    Jengo jipya la   Wizara ya Katiba na Sheria liliopo Mazizini Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar  Oktoba 6, 2015 baada ya kulifungua rasmi,(kushoto) Waziri wa Katiba na Sheria Abubakar  Khamis Bakari.
4
Rais wa Zanzibar wa Zanzbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akitoka  nje ya Jengo jipya la   Wizara ya Katiba na Sheria alipomaliza kulitembelea na kuapata maelezo ya kina   kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Asaa Omar Hamad (kushoto) baada ya kulifungua rasmi (kulia) Waziri wa Katiba na Sheria Abubakar  Khamis Bakari.
9
Rais wa Zanzibar wa Zanzbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake katika sherehe za   Ufunguzi wa Jengo jipya la   Wizara ya Katiba na Sheria,uliofanyika katika meneo ya Mazizini nje ya Mji wa Zanzibar.
5
Baadhi ya Viongozi na wafanyakazi mbali mbali wa Idara katika Wizara ya katiba na Sheria wakiwa katika hafla ya sherehe za Ufunguzi wa Jengo jipya la   Wizara ya Katiba na Sheria,ufunguzi uliofanywa na Rais wa Zanzibar wa Zanzbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
7
Baadhi ya   wafanyakazi mbali mbali wa Idara katika Wizara ya katiba na Sheria wakiwa katika hafla ya sherehe za Ufunguzi wa Jengo la   Wizara ya Katiba na Sheria,ufunguzi uliofanywa na Rais wa Zanzibar wa Zanzbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.

No comments:

Post a Comment