Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Muleba kusini |
Helkopta iliyombeba Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ikipasua anga la mji wa Bukoba. |
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Bukoba kwenye mkutano wa kampeni za kuwanadi wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya Urais, Ubunge na Udiwani. |
No comments:
Post a Comment