KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 4, 2015

MAMA SAMIA AMALIZA ZIARA SIMIYU

Kinamama wa mkoa wa Simiyu, wakimtawaza kuwa Mama Kiongozi wa Wasukuma, kwa kumvalisha mavazi rasmi Mgombea Mwenza wa Urais kwa timeti ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika jana katika jimbo la Maswa Mashariki mkoani humo leo. Jimbo hilo lilikuwa chini ya Mbunge wa Chadema, Kasulumbai

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, baada ya kutazwa kuwa Mwanamke Kiongozi wa Wasukuma, kwa kuvalishwa mavazi rasmi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika
  jana katika jimbo la Maswa Mashariki mkoani humo.

No comments:

Post a Comment