![]() |
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na wanachama wa CCM,Wananchi wapenda amani waliohudhuria katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM za kuomba kura wagombea nafazi za Uongozi katika Chama hicho,uliofanyika jana uwanja wa Mpira Kijiji cha Kiungoni Jimbo la Kojani Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba. |
![]() |
Mjumbe
wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa NEC Balozi Ali Abeid Amani Karume
allipokuwa akizungumza na wananchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi
Jimbo la Kojani Wilaya ya wete Mkoa wa Kaskazini Pemba katika kijiji cha
Kiungoni wakati wa mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM
uliofanyika jana uwanja wa Mpira Kijijini hapo, mgeni rasmi
akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein.
|
![]() |
Baadhi ya Viongozi walioungana na mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM wakiwa katika uwanja wa Mkutano wa hadhara uliofanyika jana katika jimbo la Kojani kijiji cha Kiungoni Wilaya ya Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba ikiwa ni mfululizo wa kampeni za CCM zinazoendelea. |
![]() |
Baadhi ya wanachama wa CCM,Wananchi wapenda amani waliohudhuria katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana uwanja wa Mpira Kijiji cha Kiungoni Jimbo la Kojani Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba,wakimsikiliza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipozungumza
nao.
{Picha na Ikulu.]
|
No comments:
Post a Comment