![]() |
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wananchi na wanachama wa CCM Jimbo la Mkoani Mkoa wa kusini Pemba, katika uwanja wa mpira wa Makombeni, mkutano huo wa hadhara wa kampeni za CCM ulifanyika jana ikiwa ni mfulilizo wa mikutano inayoendelea |
![]() |
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwatambulisha wagombea Udiwani wa CCM kwa Wananchi na wanachama wa CCM Jimbo la Mkoani Mkoa wa kusini Pemba, katika uwanja wa mpira wa Makombeni, wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM ulifanyika jana ikiwa ni mfulilizo wa mikutano inayoendelea |
![]() |
Wananchi na WanaCCM pamoja na Wapenzi wa Chama cha Mapinduzi wakisikiliza Sera za CCM zilizotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein wakati wa mkutano wa Hadhara wa kampeni za Uchaguzi Mkuu uliofanyika jana uwanja wa Mpira Makombeni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba. |
No comments:
Post a Comment