Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Singida mjini, Mohammed Dewji akisalimiana na mmoja wa madiwani waliofika kumpokea mara tu baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Singida mjini pamoja na wasaidizi wake. |
Pichani juu na chini ni Mohammed Dewji akibadilishana mawazo na watoto waliojitokeza kumpokea uwanjani hapo. |
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Singida mjini, Mohammed Dewji
akiagana na Mgombea Ubunge wa jimbo la Bumbuli ambaye pia ni mmoja wa
wanakamati wa timu ya ushindi ya kampeni za Dkt. Magufuli, January
Makamba kabla ya kuelekea kwenye viwanja vya Peoples Singida mjini
ulipofanyika mkutano wa kampeni za Mgombea urais kupitia tiketi ya CCM,
Dk.John Pombe Magufuli. Kulia ni Msaidizi wa MO, Duda Jumanne.
(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).
|
No comments:
Post a Comment