KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

December 1, 2015

MKUTANO WA KUKUZA SEKTA YA UKARIMU NA UTALII HUFANYIKA KWA MARA YA PILI JIJINI DAR.

INTERNATIONAL hospitality consultancy HD Partnership (HDP) kwa  kushirikiana na shirika la wamiliki wa Hoteli Tanzania (HAT), wanafanya mkutano wa awamu ya pili wa mwaka Disemba 7 na 8 mwaka huu jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment