Mhariri Mtendaji wa New Habari Corporation Ltd, Absalom Kibanda akimkarbisha Karibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye ambaye pia ni Mbunge wa Mtama, alipotembelea Ofisi za kampini hiyo leo, Sinza jijini Dar es Salaam |
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimiana na Mhariri wa Habari wa gazeti la Mtanzania, Bakari Kimwanga |
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa CCM, Godfrey Chongolo akisalimiana na Kibanda |
No comments:
Post a Comment