Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, (Mazingira na Muungano) Mh. January
Makamba (Kushoto) akiongea na Balozi wa Uingereza nchini Bi. Dianna
Melrose (katikati) . kulia ni Naibu Balozi wa Uingereza nchini Bw. Matt
Sutherlal walipomtembelea Mh. Waziri leo Ofisini kwake Mtaa wa Luthuli
kwa lengo la kufahamiana na kudumisha ushirikiano baina ya Tanzania na
Uingereza katika nyanja za Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini)
No comments:
Post a Comment